Jun 11, 2014

Justin Bieber abatizwa kutubu dhambi za ubaguzi wa rangi

Bieber alibatizwa jijini New York na pastor Carl
Lentz in kwenye chumba cha hoteli ambako alipewa
maji hayo ya baraka ‘bathtub’ kuepuka macho ya
mashabiki na wapiga picha. Kwa mujibu wa TMZ, Bieber amekuwa akisoma
masomo ya biblia na Lentz. Video zinazomuonesha
Justin akitumia maneno ‘nigga’ alizozirekodi akiwa
na miaka 15 zimemletea matatizo makubwa. Hata
hivyo mastaa mbalimbali akiwemo, Usher
wamemtetea Bieber kwa kudai alikuwa na akili za kitoto na hakujua nguvu za maneno hayo. Bieber aliomba radhi kwa kosa lake alilolema