Mar 19, 2014

USHAHIDI MWINGINE WA KIMTANDAO UNAOONESHA MAHALI ILIPO NDEGE YA MALAYSIA KUPITIA SATELITE

wanaharakati wakiendelea kufanya utafiti juu ya anga la kimataifa kuonesha juhudi za kuipata ndege ya MH370 iliyotoweka mapema mwezi huu

picha kutoka katika satelite ikionesha picha ya ndege ikiwa katika msitu mnene 

na hivi ndivyo inavyokisiwa kuwa ndege ya MH370 ikiwa katika msitu mkubwa hii ni picha kutoka satelite



Mamia ya watu wameingia mtandaoni na kujiunga kutafuta ndege ya MH370 iliyo potea kwa mazingira ya kutatanisha. mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha taiwani amefungua mtandao ulio unganishwa na setilite iliyo juu ya anga ambapo ilionesha kuwa ndege hiyo ya MH370 iko katika msitu mkubwa jirani na kusini mwa bahari ya hindi
kwa maelezo zaidi na mtandao wa,.http://www.tomnod.com