viongozi wa ccm wakiongoza msafara wa kampeni
chalinze.com
hip hop nao kama kawa full burudani
mkuu wa mkoa wa dar es salaam yupo nae chalinze
camera man piga picha hapa kwanza mwangu anachukua ubunge hapa
ccm oyeeeeeeeeeee!!!!!
wasanii wa bongo nao wapo pia ndani ya chilinze
kijana hapa ni kazi tu hawa watu ni halali yako sawa!!??
mama salma nae yumo ndani ya chalinze
mwanangu jipe moyo utashinda tu
full shangwe mama mtu na shoti yake
nape nae hakuwa nyuma
kinana ndani ya chalinze
wamsai wamo ccm pia
wadau wa ccm kazini kama kawa kuwapa mvuto zaidi



























