Nov 12, 2013

JK AONGOZA SHEREHE ZA UZINDUZI WA UJENZI WA BARABARA YA BWANGA - UYOVU (LUNZEWE)





 Moja kati ya kikundi cha sanaa kikionyesha umahiri wake katika uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Bwanga  hadi Uyovu (Lunzewe) ambayo inajengwa na serikali kwa thamani  ya shilingi bilioni 45 ikiwa na urefu wa kilomita 45, ambapo mgeni rasmi wa sherehe hiyo alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete.

 Moja kati ya kwaya zilizojitokeza katika uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Bwanga  hadi Uyovu (Lunzewe) ambayo inajengwa na serikali kwa thamani  ya shilingi bilioni 45 ikiwa na urefu wa kilomita 45, ambapo mgeni rasmi wa sherehe hiyo alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete.









 Zana za kazi zikiwa zimepaki kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Bwanga  hadi Uyovu (Lunzewe) ambayo inajengwa na serikali kwa thamani  ya shilingi bilioni 45 ikiwa na urefu wa kilomita 45, ambapo mgeni rasmi wa sherehe hiyo alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete. 



NA: PETER FABIAN