gari ndogo aina ya hiace inayo fanya safari zake kati ya buzuruga lamadi mapema hii imepata jali mbele kidogo ya mji wa magu chanjo cha ajali hiyo mifugo waliokuwa wakikatiza mbele na ndipo dereva aliposhindwa kushika breki za gari ana kujikuta akiwaparamia ng'ombe hao lakini mwanahabri wetu isaya momba anasema mwendo kasi ndio chanzo cha ajali nyingi hapa nchini hivyo madereva wanaombwa kuwa makini pindi wanapokuwa wanaendesha magari wasiende mwendo kasi
na mwanahabari wetu ISAYA MOMBA kutoka magu
