Nov 11, 2013

0444 aka KAJALA JEREMIAH ANATARAJIA KUJA ANA AUDIO PAMOJA NA VIDEIO JE UNAJUA NI LINI?


  mkali wa miondoko ya hip hop nchini tanzania kala jeremiah aka 0444 amepanga kuibuka na single yake mpya ijulikanayo kama WALE WALE kala amesema kazi hiyo itakuwa ni ndani ya November 20 mwaka huu.
katika wimbo huo amabokala amemshirikisha Nay lee kala amesema utahusu maisha halisi ya mtanzania,
kala amezungumza mabo hayo kupitia intagram kama ilivyo hapa chini

TAREHE 20 MWEZI HUU WA 11 -2013 JUMATANO YA WIKI IJAYO WIMBO WANGU MPYA UNAOKWENDA KWA JINA LA WALE WALE NILIO MSHIRIKISHA NAY LEE UNATOAKA RASMI AUDIO NA VIDEO KWA PAMOJA AHSANTENI SANA,