Oct 14, 2013

WASANII WA TASNIA YA FILAMU TANZANIA {BONGO MOVIE} KUMUENZI BABA WA TAIFA J.K NYERERE

wasnii wa bongo movie kutkoa tollywood wakiwa katika pozi

picha ya hayati marehemu baba wa taifa mwalimu julius kamabarage nyerere

wasanii kutoka katika tasnia ya filamu wakutana na kufanya maadhimisho ya kumuenzi baba wa taifa mwl jk.nyerere na baadhi ya wanii hao ni jacob steven,steve nyerere. na wengine.
wasanii hao wamesema wanafanya hivyo kumuenzi kwa mambo muhimu aliyokuwa akiyafanya katika taifa na kuwafanya watanznaia kulipenda taifa lao aidha masanii na mongozaji wa filamu hapa nchini tanzania jackob steven amesema wao lengo lao ni kuwanaya watanzania wajitambue na wajue kuwa wao ni watanzania na walipende taifa la tanzania.