
mume wa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Emmanuel Benedict na mke wa mtu aitwaye Rehema ambao wamenaswa laivu wakifanya ‘mambo’ gesti.
Mume wa mtu, Emmanuel Benedict na mke wa mtu aitwaye Rehema baada
ya kunaswa gesti saa 7 usiku.
Wawili hao walinaswa hivi karibuni
kwenye gesti ambayo pia ina baa iitwayo Blue Roze maeneo ya Buguruni-Sokoni
jijini Dar wakijiachia kwa…