gari ya tanapa aina ya deffender imepata ajali mbaya ikiwa inatokea bariadi k iliyokuwa ikitokea uelekea mwanza ndipo imegongana na basi kubwa la abilia la kampuni ya zakaria express iliyokuwa ikitokea tarime ajali hii imetokea majira ya saa tano asubuhi kijiji cha ramadi mkoani simiyu


