Baadhi
ya Wawakilishi wa Makampuni yaliyoweza kudhamini Hafla ya Usiku wa
Chakula Cha Hisani ulioandaliwa na AMREF Tanzania kwa kushirikiana na
Montage Limited na Benk M wakipokea vyeti vya Shukrani kutoka Mgeni
Rasmi Dk Mohamed Gharib Bilal ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika
hafla hiyo iliyofanyika jana katika Hotel ya Serena.
Wadau
waliohudhuria hafla ya Usiku wa Chakula Cha Hisani wakiangalia jiwe la
Tanzanite lililokuwa likinadaiwa jana katika Hafla hiyo iliyofanyika
katika hoteli ya Serena
Wadau
wakipata Msosi katika Hafla ya Usiku wa Chakula Cha Hisani uliofanyika
jana katika Hotel ya Serena na kuandaliwa na AMREF Tanzania kwa
Kushirikiana na Montage Limited na Benki M. Picha Zote na Josephat
Lukaza wa Lukaza Blog+wamburababu