Baadhi
ya wananchi wakifurahia kutumia maji yanayopatikana kisima cha Bwibwi kilichopo
katika kijiji cha iyumbu Manispaa ya Dodoma, kisima hicho kilichovumbuliwa
katikati ya miaka 1,800 kiko katika hatihati ya kufukiwa na eneo hilo lituumike
kwa matumizi mengine.
Mkuu
wa kimila wa kabila la kigogo Lazaro Chihoma akinywa maji yaliyochotwa kisima
cha Bwibwi kilichopo Kijiji cha Iyubu Manispaa ya Dodoma, Kisima hicho
kinachoaminika ni cha maajabu na mtu anayetumia maji yake hupata Mafanikio ya
kiafya na kimaisha: PICHA NA JOHN BANDA.
Koo mbili za Wanyazaga na Wambukwa mnyambwa
wakiwa wamekusanyika kukizunguka kisima kinachosemekana kimejaa maajabu cha
Bwibwi kilichopo Katika kijiji cha Iyumbu kilichopo pembezoni mwa Chuo kikuu
cha Dodoma


