Oct 7, 2013

HAPPY BIRTHDAY JAKAYA MRISHO KIKWETE

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Rais wetu mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, tunamtakia maisha mema yenye afya tele ili aweze kuendelea kuliongoza taifa letu vizuri.
KUTIMIZA MIAKA 63
 
 MHEIMIWA JAKAYA KIKWETE AKIMLISHA MAMA SALMA KIKWETE KEKI