Oct 7, 2013

AIRTEL YAADHIMISHA WIKI KWA MTEJA‏

airtelhuduma kwa wateja 

 

Wateja wa Aitel Tanzania wakipatiwa huduma katika ofisi za Airtel Tanzania zilizopo Morocco jijini Dar es Salaam


Wafanyakazi wa Airtel Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya mteja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam.
OAfisa Huduma kwa Wateja, Deogratius Hugo akiongea machache wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya wateja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

 



Keki ya maadhimisho ya wiki ya mteja.
 


 wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba (wa pili kulia) akiwa ameungana na wateja wa Airtel Tanzania kukata keki ya maadhimisho ya wiki ya mteja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Pembeni yake anayeshuhudia kulia ni ofisa huduma kwa wateja Deogratius Hugo