Aug 11, 2013

ZIWA VICTORIA NA MAZINGIRA YANAYO LIZUNGUKA


 
 ZIWA VICTORIA NI ZIWA KUBWA SANA BARANI AFRIKA NA PIA ZIWA HILI LIMEBEBA SAMAKI WENGI SANA WASIO ISHA HARAKA.
unapozungumzia ziwa victoria laziam ujue kuwa kuna vitu vinavyo litambulisha kama vile jiwe la BISMACK ROCK unaloliona katika picha hii.

SAMAKI AINA YA SANGARA MKUBWA.
samaki hawa ni hatari sana wanameza samaki wadogo aina ya sato kwa sana yaani inaaminika kuwa sanagara ni wengi ndani ya ziwa victoria kwa mujibu wa utafiti wa kina zaidi nadni ya ziwa victoria.

 
kuna samaki wengine ni aina nyingi ya samaki hapa duniani wakubwa, wadogo, na wastani



KUNA BAADHI YA WATU NI WABISHI HADI KERO ANAONA KABISA SEHEMU IMEANDIKWA NA MAANDISHI MAKUBWA KUWA USIFANYE JAMBO FULANI.lakini ndio kwanza anaanza kufanya jambo hilo na hii inapelekea kuharibu na kuchafua vyanzo vya mazingira, hapo kando kando ya ziwa victoria kuna kibao kimetoa onyo kali kuwa usichafue mazingira hayo utatozwa faini basi hapo ndo kila mmoja anapaswa kutambua wajibu wa uhifadhi mazingira maana mazingira ni sehemu ya maisha yetu sisi binadamu.  



MELI YA MV.Victoria ikiwa imetia nanga katika bandari tayari kwa kupakia mizigo na abiria
meli hii hufanya safari zake kati ya Bukoba na Mwanza


FELI YA ORION IKIWA KATIKA SAFARI ZAKE ZA KILA SIKU NDANI YA ZIWA VICTORIA KWA AJILI YA KUVUSHA ABIRIA,MIZIGO, NA MAGARI, KUTOKA MWANZA MJINI KUELEKEA NG'AMBO YA UPANDE WA PILI SENGEREMA KIVUKO HIKI NI MAARUFU KA AKAMANGA FELI {kamanga ferry}