Aug 11, 2013


 HAWA NI WANAYA WAJULIKANAO KAMA TOPI WANAPATIKANA KATIKA HIFADHI YA SERENGETI MASAI MARA LAKINI NI ADIMU SANA KWA WANYAMA HAWA KUWAONA KATIAKA BAADHI YA HIFADHI ZA WANAYAMA PORI HAPA TANZANIA. 


wanayama aina ya swala wakishangaa mmoja wa watalii ndani ya hifadhi wanayama hawa wanaaminika kwa mwendo kasi lakini wanayama hawa pia wanajulikana kama gazelles huko nchi za ulaya na kwingineko duniani {masai mara}