May 28, 2025

WAZIRI KOMBO AWASILI BUNGENI KUWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 28 Mei, 2025 tayari kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.