Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Seleman Jaffo katika ufunguzi wa Kongamano la Biashara, Uwekezaji na Utalii lililofanyika katika Hoteli ya The Westin Osaka nchini Japan leo Mei 26, 2025 ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alikuwa mgeni rasmi.
viongozi mbalimbali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kushiriki ufunguzi wa Kongamano la Biashara, Uwekezaji na Utalii lililofanyika katika Hoteli ya The Westin Osaka nchini Japan leo Mei 26, 2025 ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alikuwa mgeni rasmi.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alikuwa mgeni rasmi na katika ufunguzi wa Kongamano la Biashara, Uwekezaji na Utalii lililofanyika katika Hoteli ya The Westin Osaka nchini Japan leo Mei 26, 2025.
viongozi mbalimbali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kushiriki ufunguzi wa Kongamano la Biashara, Uwekezaji na Utalii lililofanyika katika Hoteli ya The Westin Osaka nchini Japan leo Mei 26, 2025 ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alikuwa mgeni rasmi.
Picha ya pamoja ya viongozi mbalimbali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wakishiriki ufunguzi wa Kongamano la Biashara, Uwekezaji na Utalii lililofanyika katika Hoteli ya The Westin Osaka nchini Japan leo Mei 26, 2025 ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alikuwa mgeni rasmi.