May 29, 2025

SHANGWE LA WAJUMBE WA CCM



Wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa wakifurahia burudani zinazoendelea kutolewa na wasanii mbalimbali ; katika Ukumbi wa JK Convention Centre.