May 30, 2017

Tanzia: Mzee Ngosha afariki




Mzee Francis Kanyasu (86) aliyechora Nembo ya Taifa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Kwa pamoja East Africa Tv inatoa pole kwa Familia ya Mzee Kanyasu pamoja na watanzania wote kwa ujumla.