Nov 1, 2016

TAHARUKI YAIBUKA BANDARINI KUFUATIA MOTO MKUBWA KUZUKA


Tukio la moto Bandarini leo limepelekea kuibua taharuki kubwa miongoni mwa baadhi ya wafanyakazi waliokuwa eno hilo,kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa kuibuka kwa moto huo ilikuwa ni zoezi la jaribio kwa kikosi cha Zimamoto Bandarini hapo walipokuwa wakifanya mazoezi namna ya kukabiliana na janga la moto linapotokea.

chanzo: michuzi media