Sep 27, 2016

TAZAMA JINSI NORWEGIAN CHURCH AID (NCA) WALIVYO NIGOSHA TAMASHA LA UTAMADUNI HYDOM.

 Naibu Balozi wa Norway Tanzania   TRYGVE BENDIKSBY alipotembelea banda la NCA NA 4CCP HYDOM wakati wa Tamasha la Utamaduni Hydom.
 Matukio mbali mbali yaliyojiri wakati wa Tamasha la Utamadun
 bwana Girlbert Mwolia Meneja Mradi wa NCA Tanzania na TALE HUNGNES wakizungumza na wananchi wa HYDOM wilayani Mbulu.
 Vijana wa YouthCAN wakitoa elimu YA MAZINGIRA,AFYA NA MAJI SALAMA kupitia muziki wakati wa Tamasha la kiutamaduni

 Bwana Zakayo Makobelo akitoa ufafanuzi Juu ya kisima hiki kitumiacho Nishati ya Jua.
 Naibu Balozi Norway   bwana TRYGVE BENDIKSBY .akizindua kisima cha maji kijiji cha ENDAGAW wilayani Mbulu.
kutoka kulia ni TALE HUNGNES Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
NCA Tanzania,Mkuu wa wilaya ya Mbulu Mh.Flatey Massay, Balozi  Msaidizi TRYGVE BENDIKSBY, Bwana Abeli Mfanyakizi wa NCA na Afisa Mradi wa WASH NCA Tanzania Bwana.Zakayo Makobelo.

 Mkuu Wa wilaya ya Mkalama Mkoani Singida na Mbunge wa MAkalama wakionyweshwa Vifaa vifaa hivi vya kuzilisha nishati ya jua kwa ajili ya kusaidia Usamabazaji wa maji kijjijni.
 Mbunge wa Jimbo la Mkalama Mh.Allan Kilawa akimbebesha maji mmoja ya wanakijiji wa Munguli wilayani  Mkalama Mkoani Singida.
Picha ya Pamoja baina ya wafanyakazi wa NCA,4CCP na viongozi wa kiserikali wa wilayani Mkalama mbele ya Mradi mkubwa wa maji unatumia Solor Power ambapo maji yamesambazwa Vijijini kutokea hapo.

CREDIT: PICHA ZOTE NA IMANI NSAMILA