Mziwanda na Shilole Waeleza Kilichotokea Mpaka Wakapostiana Instagram Jana
Nuhu Mziwanda na Shilole Katika Pozi la Mahaba
Wasanii wa bongofleva Shilole na Nuh Mziwanda waliwahi kuwa wapenzi
lakini wakaachana na baada ya hapo Shilole alionekana kutotaka hata
kusamiliana na Nuh japokua walifikia kupatanishwa.
Banda ya haya yote September 15 2016 wawili hawa wamepostiana Instagram
kwa mara ya kwanza toka kuachana kwao, hapa chini ukibonyeza play
utawasikia wakieleza ilivyokua mpaka wakapatana.