Magogoni kikiwa majini mara baada ya ukarabati wake kukamilika.
Mkuu wa Jeshi la Majini (Navy,
Meja Jenerali Rogastian Laswai (kulia) akitoa maelezo Kwa Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng.
Joseph Nyamhanga (Wa kwanza kushoto) kuhusu huduma za usafiri wa majini
katika Kivuko cha Mv. Magogoni.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga
akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Majini (Navy) Meja Jenerali Rogastian
Laswai kabla ya ufunguzi wa Kivuko cha Mv. Magogoni, jijini Dar es
salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga (Wa
tatu kulia) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kivuko cha Mv. Magogoni
mara baada ya ukarabati wake kukamilika, Jijiji Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga (Wa nne
kushoto) akiwa pamoja na watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme
(TEMESA) wakivuka kuelekea upande wa Kigamboni kwa kutumia usafiri wa
Mv. Magogoni.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Ufundi na Umeme (TEMESA), Eng. Manase Ole Kujan (Kushoto), akitoa
maelezo ya moja ya kifaa kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano(Sekta ya Ujenzi) Eng. Joseph Nyamhanga (kulia) mara baada
ya ufunguzi wa Kivuko cha Mv. Magogoni.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa
Kivuko cha Mv.Magogoni, Jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga (Wa nne
kushoto) akiwa pamoja na watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme
(TEMESA) wakivuka kuelekea upande wa Kigamboni kwa kutumia usafiri wa
Mv. Magogoni.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga
akishuka kutoka katika kivuko cha Mv. Magogoni.
Wakazi wa Kigamboni wakielekea
kupanda kivuko cha Mv. Magogoni mara baada ya kuanza kutoa huduma za
usafiri kati ya Magogoni na Kigamboni.
Picha Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano