Diamond na mpenzi wake Zari.
Kutoka kushoto Moses Iyobo, Aunt Ezekiel, Diamond na Zari.
Kutoka kushoto Moses Iyobo, Aunt Ezekiel, Diamond na Zari.
Mwanamuziki Nassib Abdul amedhihirisha ule
usemi wa wahenga wa zamani kwamba pesa maua na ukiwa nazo unaweza
kufanya jambo lolote lile chini ya jua na hakuna wa kukuzuia.
Baada ya kumfanyia sherehe ya kuzaliwa
mchumba wake Zari, aliyezaa naye mtoto mmoja na ambaye ni mjamzito kwa
sasa wawili hao bado wapo visiwani Zanzibar wakiendelea kula bata hata
baada ya kumalizika kwa sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Zari iliyofanyika
visiwani humo .






