AZANIA BANK TAWI LA MOSHI YAKABIDHI ZAWADI YA MBUZI KWA WATEJA WAKE NA VITUO VYA KULELEA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU.
Wafanyakazi
wa Benki ya Azania tawi la Moshi ,wakishusha Mbuzi kwa ajili ya kutoa
zawadi ya siku kuu ya Idd kwa baadhi ya wateja wake pamoja na makundi
yenye mahitaji maalumu.
Meneja
wa Azania Bank tawi la Moshi ,Hajira Mmambe akimkabidhi zawadi ya Mbuzi
mwakilishi wa Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Jafary Michael , Bw
,Bashir Seleman wa kampuni ya Zuhad kwa ajili ya siku kuu ya Idd.
Meneja
wa Azania Bank tawi la Moshi,Hajira Mmambe akikabidhi zawadi ya Mbuzi
kwa msimamizi wa kituo cha kulea watoto waishio kwenye mazingira magumu
cha Qadria kilichopo kata ya mji Mpya,Alhaji Taqdir Haji Amir kama
sadaka ya siku kuu ya Idd.
Baadhi ya watoto wa kituo cha kulelea watoto cha Qadria kilichopo kata ya Mji Mpya.
Meneja wa Azania Bank akikabidhi zawadi ya Mbuzi kwa mteja wa Benki hiyo Aman Idd Mushi kwa ajili ya siku kuu ya Idd.
Meneja
wa Azania Bank tawi la Moshi,Hajira Mmambe pamoja na wafanyakazi wa
benki hiyo wakikabidhi zawadi ya Mbuzi kwa mwakilishi wa kampuni ya Ibra
line ,Bi Mosi Shayo kwa ajili ya siku kuu ya Idd.
Meneja
wa Azania Bank tawi la Moshi,Hajira Mmambe akizungumza mara baada ya
kukabidhi zaadi ya Mbuzi kwa ajili ya siku kuu ya Idd kwa wateja wake
pamoja na makundi yenye mahitaji maalumu.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.