Aug 12, 2016

Siha Na Maumbile: Suruali za kubana kwa wanaume ni hatari

Suruali za kubana Suruali za kubana Mitindo mbalimbali ya mavazi haswa ya ughaibuni inaonekana kuigwa sana na vijana. Hata hivyo wasilojua wengi wao ni kwamba kila kinachoingia mjini si cha kuigwa, moja wapo ya mitindi hiyo ikiwa ni suari za kubana ambazo zimeoneka kuwa madhara mengi ya kiafya haswa kwa wanaoishi katika maeneo yenye joto. Katika siha maumbile hii leo tunamulika jiji la daresalam ambapo mwanahanari wetu Samuel Mwalongo anatupasha athari za mawavazi hayo ikingatiwa kwamba jiji hilo lina vyawango vya juu vya joto