NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII,MHANDISI RAMO MAKANI AFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO.
Naibu
Waziri wa Maliasilili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani ,akiviishwa vazi
maalum (Boya) ambalo hutumika kujiokoa wakati uafiri wa maji unatumika.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii ,Mhandisi Ramo Makani akiingia kwenye
Boti kwa ajili ya kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii katika
Hifadhi ya Taifa ya Rubondo.
Mhifadhi
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo,Misana Mwishawa
akimueleza jambo Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo
Makani wakati akitembelea vivutio mbalimbali vya utalii katika hifadhi
hiyo.