Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt. Ali Mohamed Shein baada ya kulihutubia Taifa kwenye Baraza la Eid
El Fitry lililofanyika leo Julai 06,2016 katika ukumbi wa Zamani wa
Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Nje ya ukumbi
wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni mjini Zanzibar Baada ya
kumalizika kwa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika leo Julai 06,2016.
akamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zubeir Ali
Maulid Nje ya ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni mjini
Zanzibar Baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika
leo Julai 06,2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.
Hamad Rashid Mohamed Nje ya ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi
Kikwajuni mjini Zanzibar Baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Fitry
lililofanyika leo Julai 06,2016. (Picha na OMR)