Mkuu wa wilaya ya Moshi ,Kipi Warioba akizungumza wakati wa sherehe
hizo zilizofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. 
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya Ushirika Kilimanjaro
(KCBL) Reginald Hosea akizungumza mara baada ya maandamano kuwasili
katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi.
Meneja Mkuu wa Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) Elizabeth Makwabe
akizungumza katika sherehe za kutimiza miaka 20 ya benki hiyo .
Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi,Prof Faustine Bee akizungumza
katika sherehe hizo zilizofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha
Ushirika Moshi.