Jul 15, 2016

HALMASHAURI ZA WILAYA KYERWA NA BIHARAMULO ZAANZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UIMARISHAJI MIFUMO YA SEKTA ZA UMMA.

Mwakilishi wa Shirika la Misaada la Kimataifa la Makani (USAID), Moses Busiga akizungumza wakati wa kikao cha kwanza cha maofisa watendaji wa Halmashauri mbili za Wilaya ya Kyerwa na Biharamulo mkoani Kagera kilichofanyika leo ikiwa ni kuanza kwa utekelezaji wa Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za umma (PS3) Mkoani Kagera. Source:Father Kidevu Blog
 Kiongozi wa timu ya Uzinduzi wa Mradi wa PS3 Mkoani Kagera, Abdul Kitula akizungumza.
Washiriki wakisikiliza kwa makini mada