Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Tulia Ackson (wa
nne kulia),akiongoza mbio za Tulia Marathon KM 5 akiwa sambamba na
baadhi ya Wabunge mbalimbali vikiwemo na vikundi vya kuhamasisha mbio
hizo zilizoanzia geti la Bunge na baadae kuishi katika viwanja vya
Nyerere Skwea mjini Dodoma.Dkt Tulia na washiriki wa mbio hizo. Baada ya
mbio hizo walikwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha
Watoto Yatima kiitwacho kijiji cha Matumaini kilichopo nje kidogo ya mji
wa Dodoma.Wakati wa kutoa msaada huo Dkt Tulia alisema kuwa ni vvema
kila Mkoa vikawa na vikundi mbalimbali kikiwemo cha Wazalendo wakafanya
shughuli za Kijamii kusaidia makundi mbalimbali.PICHA NA MICHUZI JR-MMG
DODOMA.
Dkt
Tulia akishirikia na Wabunge na vikundi mbalimbali wakifurahia kumaliza
mbio hizo za kuhamasisha jamii kusaidia watoto Yatima na waishio katika
Mazingira Magumu.
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Tulia Ackson (wa
tatu kulia),akiwa ameongoza na Wabunge mbalimbali vikiwemo na vikundi
vya kuhamasisha mbio hizo zilizoanzia geti la Bunge na baadae kuishi
katika viwanja vya Vya Nyerere Skwea mjini Dodoma.
Baadhi
ya Wabunge wakishiriki mbio za Tulia Marathon KM 5 mapema leo,ambapo
mbio hizo zilikomea katika viwanja vya Nyerere Skwea.
Vikundi mbalimbali vikiunga mkono mbio za Tulia Marathon KM 5 mapema leo asubuhi.
Baadhi
ya vikundi mbalimbali vikisubiri kuanza mbio za Tulia Marathon KM 5
zikiwa ni sehemu ya kuhamasisha jamii kusaidia watoto Yatima na waishio
katika Mazingira Magumu,ambapo baada ya mbio hizo walikwenda kutoa
msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha Watoto Yatima kiitwacho
kijiji cha Matumaini kilichopo nje kidogo ya mji wa Dodoma.Wakati wa
kutoa msaada huo Dkt Tulia alisema kuwa ni vvema kila Mkoa vikawa na
vikundi mbalimbali kikiwemo cha Wazalendo wakafanya shughuli za Kijamii
kusaidia makundi mbalimbali.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA