
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akizungumza wakati wa
kufungua Mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa (TANZANIA) na
Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari
,mkutano unaofanyika katika ukumbi wa VETA mkoani Morogoro.

Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro Kebwe Stephen Kebwe akizungumza wakati ufunguzi
mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na Wahariri,Wanahabari
waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari .

Mkurugenzi
Mkuu wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza
wakati wa mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania
,Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari


Meneja
Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete
akitoa maelezo ya awali kuhusu mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa
Tanzania ,Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya
habari ,Mkutanoo unaofanyika mkoani Morogoro.

Baadhi ya Wahariri na Wanahabr waandamizi wakiwa katika mkutan huo.

Baadhi ya Wahariri na Wanahabari waandamizi wakiwa katika mkutano huo unaofanyika ukumbi wa Veta mjini Morogoro.

Baadhi
ya wawasilishaji wa mada katika mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa
Tanzania (TANAPA) na Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo
mbalimbali vya habari .