Waziri wa Fedha na
Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb),
akipokea hundi kifani yenye thamani ya shilingi Bilioni 4.5 kutoka kwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Puma Energy Dkt. Ben Mosha, wakati
wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi
Bilioni 23 kutoka kwa Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo
imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina (Treasury Squire) Mjini Dodoma
Naibu Waziri wa
Nishati na Madini Dk.
Medard Kalemani, akizungumza jambo wakati wa Hafla fupi
ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni 23
kutoka kwa Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza
hisa zake, katika ukumbi wa Hazina (Treasury Squire) Mjini Dodoma
Waziri wa Fedha na
Mipango, Dkt Philip Mpango(Mb), (Katikati) akimwelekeza jambo Msajili wa Hazina
Laurence Mafuru, wakati wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano
zenye thamani ya shilingi Bilioni 23 kutoka Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank
PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina (Treasury Squire) Mjini
Dodoma 
Naibu Katibu Mkuu
Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika, akipokea mfano wa hundi yenye
thamani ya shilingi Bil. 2.0 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Tiper (T), Prof. Abdulkarim Mruma, wakati wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa
Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni 23 kutoka Kampuni za Puma
Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa
Hazina (Treasury Squire) Mjini Dodoma
Waziri wa Viwanda,
Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (Mb) akizungumza jambo wakati wa
Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi
Bilioni 23 kutoka Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo
imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina (Treasury Squire) Mjini Dodoma
Waziri wa Fedha na
Mipango, Dkt Philip Mpango(Mb), (Katikati) akinyoosha dole gumba kuashiria
"mambo safi", wakati akipokea hundi ya shilingi Biln 16.5 kutoka kwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Ineke Bussemaker, wakati wa Hafla
fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni
23 kutoka Kampuni za Puma Energy, Tiper
(T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina (Treasury
Squire) Mjini Dodoma.
Msajili wa Hazina,
Laurence Mafuru, akifafanua jambo wakati wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa
Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni 23 kutoka kwa Kampuni za Puma
Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa
Hazina Mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi wa Kampuni ya Puma Energy Dkt Ben Mosha, akizungumza Jambo wakati
wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi
Bilioni 23 kutoka kwa Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo
imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina Mini Dodoma