2.Akitazama
sehemu ya maaandalizi ya bwawa la kufugasamaki
3.akijifunza
namna ya utengenezaji wa Mizingayanyuki kwa kutumia udongo
wamfanyanzi,mizinga
hiyo inauwezo wakudumu miaka 80-100.
1.Mhe.January
Makamba Akiwasili choni hapo
5.Akitazama
baadhi ya kazi za mikono za kikundi cha wakina mama wa Upendo,kikundi hicho kimepata
mafunzo chuoni hapo.
4.Akijifunza
historia ya chuo hicho kwa njia ya picha.
Mhe.JanuaryMakamba(MB),Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa
Rais(MuunganonaMazingira ) ameitumia Siku yaTarehe 25 /6/2016 kushiriki katika maafari
24 yachuo cha bibliaVuga (VUGA BIBLE )kilichopo katika halmashauri ya
Bumbuli mkoani Tanga
Vilevile Mhe.JanuaryMakamba alipata fursa
ya kukagua baadhi ya miradi ya maendeleo inayofanywa na chuo hicho,
Pia
aliupongeza uongozi wa chuo kwa kutoa elimu mbalimbali kwa wananchi waishio
karibu na chuo na bumbuli kwa ujumla.









