
Mhe.
January Makamba akisalimiana na balozi wa umoja wa Ulaya Tanzania Bw.
Roeland Van De Geer muda mfupi kabla ya kuanza kwa msafara wa baiskeli.

Mhe. January Makamba akisalimiana na baadhi ya washiriki katika msafara wa baiskeli

Mbio za baiskeli

Mhe. January Makamba jana alipata nafasi kuwa mgeni wa heshima katika cycling caravan ambapo
iliandaliwa na umoja wa waendesha baiskeli (UWABA), ambapo msafara huo
wa baiskeli ulianzia Kidongo chekundu Mnazi Mmoja. Ambapo baada ya hapo
Mhe. January Makamba alihudhruia Maazimisho ya Siku ya Mazingira duniani
kwa Mkoa wa Dar es salaam yaliyofanyika viwanja vya Mwembe Yanga
wilayani Temeke.

Mhe.
January Makamba akifurahia jambo na mwenyekiti wa ccm mkoa wa Dar es
Salaam Mhe. Ramadhani Madabida mara baada ya kuwasili viwanja vya Mwembe
yanga.

Mhe. January Makamba akihutubia watanzania waliojitokeza viwanjani hapo

Tukio baada ya tukio.

Usafi na vitendea kazi

Akifurahia Jambo na vijana wa Youth CAN waliokuwa wakitubwiza katika siku ya mazingira Duniani.

Akitembelea kwenye mabanda mbalimbali ya maonyesho.

Akitembelea kwenye mabanda mbalimbali ya maonyesho.

Akipata mafunzo ya zima moto .

akizungumza na wandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa shuguli.