Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mchezaji wa Mpira wa kulipwa wa Kikapu NBA
Marekani Hashim Thabit, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar
es salaam leo Juni 09,2016 kwa ajili ya kumuelezea kuhusu lengo na mpango wake
wa kuanzisha na kukuza vituo vya Michezo
hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akipokea Zawadi ya Mpira kutoka kwa Mchezaji wa Mpira wa
kulipwa wa Kikapu NBA Marekani Hashim Thabit, wakati alipofika Ofisini kwa
Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Juni 09,2016 kwa ajili ya kumuelezea kuhusu
lengo na mpango wake wa kuanzisha na
kukuza vituo vya Michezo hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan,katikati akiwa katika picha ya pamoja na Mchezaji wa Mpira
wa kulipwa wa Kikapu NBA Marekani Hashim Thabit, wakati alipofika Ofisini kwa
Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Juni 09,2016 kwa ajili ya kumuelezea kuhusu
lengo na mpango wake wa kuanzisha na
kukuza vituo vya Michezo hapa Nchini. (PIcha na OMR).