Jun 18, 2016

KINYWA CHA BABU HAKINUKI UGOLO..

Papa John Paul 2 akiongea na kijana aliyekusudia kumuua(Mehmet Ali Agca) gerezani alipokuwa kafungwa kijana huyo mwaka 1981..Papa alimsamehe kijana huyo kutokana na jaribio hilo..