
Mwenyekiti
wa Chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro,(KRFA) Godluck Mosha akizungumza
wakati wa kuwaaga mabingwa wa soka mkoa wa Kilimanjaro, timu ya
Kitayosce wanaojiandaa kuelekea mkoani Singida kushiriki ligi ya
Mabingwa wa mikoa katika kituo hicho.

Baadhi
ya wachezaji timu ya Kitayosce wakiwa katika uwanja wa Meimoria ambako
waliagwa na uongozi wa Chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro (KRFA)

Katibu wa Chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro (KRFA) Mohamed Musa akizungumza wakati wa kuiga timu ya Kitaysce.

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Kitayosce.

Mjumbe wa kamati ya kuisadia timu ya Kitayosce,Dalabu Maulid Dalabu akizungumza katika hafla hiyo fupi.