Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim
akihitimisha majumuisho ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka
wa fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma usiku huu.
Waziri
Ummy Mwalim akipanga vizuri nyaraka tayari kuhitimisha majadiliano ya
makadirio ya bajeti ya wizara hiyo.PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Viongozi wa wizara hiyo wakifuatilia majadiliano ya wabunge kuhusu bajeti hiyo.
Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Hamis Kigwangallah akijibu moja ya hoja za wabunge.
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Bulembo akichangia wakati wa majadiliano ya Bajeti ya wizara hiyo
Mbunge
wa Viti Maalum, Sophia Mwakagenda (Chadema), Mkoa wa Mbeya, akichangia
hoja wakati wa makadilio ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa iliyopitishwa bungeni Dodoma
Naibu
Waziri wa Afya, Hamisi Kigwangala akisalimiana na wanafunzi wanaosomea
utabibu katika Chuo Kikuu cha Dodoma waliozuru bunge mjini Dodoma