Katibu
Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisso akizungumza na wadau
wa filamu katika kikao cha usuluhishi wa madai ya kupewa nakala halisi
ya filamu kati ya mtengenezaji filamu nchini Bw. Carlos Johns Johns
kutoka Happy Time Production na mtunzi wa filamu ya Nyota ya Jaha Bw.
Emmanuel Mayunga.
Mtunzi
wa filamu ya Nyota ya Jaha Bw. Emmanuel Mayunga (wa pili kulia)
akizungumza katika kikao cha usuluhishi wa madai ya kupewa nakala halisi
ya filamu kati yake na mtengenezaji filamu nchini Bw. Carlos Johns
kutoka Happy Time Production kilichofanyika chini ya Katibu Mtendaji
Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisso.
Mtengenezaji
filamu kutoka Happy Time Production Bw. Carlos Johns Johns akizungumza
katika kikao cha usuluhishi wa madai ya kupewa nakala halisi ya filamu
kati yake na mtunzi wa filamu ya Nyota ya Jaha Bw. Emmanuel Mayunga
kilichofanyika chini ya Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi.
Joyce Fisso, kulia ni Afisa Utamaduni Bodi ya Filamu Tanzania Bw. Simon
Peter.
Maafisa
Utamaduni Bodi ya Filamu Tanzania pamoja na wadau wa filamu
wakimsikiliza mtunzi wa filamu ya Nyota ya Jaha Bw. Emmanuel Mayunga
akijieleza wakati wa kikao cha usuluhishi wa madai ya kupewa nakala
halisi ya filamu kati yake na mtengenezaji filamu Bw. Carlos Johns
kutoka Happy Time Production kilichofanyika chini ya Katibu Mtendaji
Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisso.