Mtafiti
wa magonjwa mbalimbali Dkt Ahmed Kalebi akizungumza na madaktari na
wauguzi kutoka katika Hospitali mbalimbali za jijini Arusha,wakati wa
warsha iliyofanyika katika jengo ilipo Benki ya ABC
Mganga
Mfawidhi wa Hosptali ya mkoa wa Arusha,Mt Meru ,Dkt Jackline Urioh
akizungumza namna ambavyo watashirikiana na Lancet Tanzania Ltd katika
kutumia maabara ya kisasa iliyofunguliwa jijini Arusha kwa ajili ya
kufanya uchunguzi wa magonjwa mbalimbali.
Mtafiti
Dkt Ahmed Kalebi (kulia) akimshukuru mganga mfawidhi Dkt Jackline Urioh
mara baada ya kutoa neno kwa niaba ya mganga mkuu wa mkoa katika warsha
hiyo iliyoenda sanjari na ufunguzi wa maabara ya kisasa ya Lancet.
Mmoja wa Madaktari waliohudhuria warsha hiyo akiuliza swali .
Washiriki
wa warsha hiyo wakifurahia jambo mara baada ya kupata maelezo
mbalimbali kuhusu magonjwa ya Saratani na Kisukari.Na Dixon Busagaga wa
Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.