Balozi wa Korea nchini Tanzania Bw. Chung IL akibadilishana mawazo na
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe kuhusu masuala
mbalimbali ya kisheria alipomtembelea leo (10/3/2016) ofisini kwake
jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison
Mwakyembe akiongea na Balozi wa Korea nchini Tanzania Bw. Chung IL
alipomtembelea leo (10/3/2016) ofisini kwake jijini Dar Es Salaam.