Kamanda
wa Polisi mkoa wa Morogoro (SACP) Ulrich Matei, akitoa neno mbele ya
washiriki wa mkutano mkuu wa URA SACCOS (hawapo pichani) wakati
akifungua mkutano huo wa siku mbili wa chama cha ushirika cha kuweka
akiba na mikopo, unaofanyika mkoani Morogoro.
Washiriki wa chama cha ushirika cha kuweka akiba na mikopo URA SACCOS Wakiimba wimbo wa maadili kabla ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa siku mbili unaofanyika mkoani Morogoro.
Kamanda
wa Polisi mkoa wa Morogoro (SACP) Ulrich Matei, akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano mkuu wa Chama cha Ushirika cha
Kuweka Akiba na Mikopo (URA SACCOS) mara baada ya kufungua rasmi mkutano
huo wa siku mbili unaofanyika mkoani morogoro huku ukiwashirikisha
askari polisi kutoka mikoa yote Tanzania bara na visiwani.(Picha na
Demetrius Njimbwi wa Jeshi la Polisi)