MAKAMU WA RAIS, SULUHU AZUNGUMZA NA WAKUUWA MIKOA JIIJINI DAR LEO.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Wakuu wa Mikoa mara baada ya kula kiapo cha Utii mbele ya
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu Dar es salaam leo
March 15, 2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa Mikoa leo jijini Dar es Salaam.