The Mama Nitilie star, who has had a much publicised history with drug abuse, refuted claims that she had gone back to her old ways.
Sharing an image of the front-page splash, she questioned why the tabloid would post such a damning story without a shred of evidence to support their claims.
The singer said that is the story was indeed true, the publication should have posted an image of her using or purchasing the drugs instead of lifting a selfie from her Instagram page.
You can read the full rant below:
Seriously kwa kweli huwa naumia sana sana kuona binadam mwezangu anadiriki kuniharibia jina langu ilj yeye apate kula!hamjui mnaniathiri kiasi gani na hizi habari zenu?Hivi unadirikije kuandika usengwile kama huu bila hata aibu wala picha ya kuisapoti hiyo habari yani ni ujinga ujinga tu umeunganishwa na picha yangu bila hata uoga mmeichukua kutoka kwwnye page yangu ya insta bassss tayari mmeshapata story ili mradi tu mniharibie maisha yangu ili nyie mpate pesa mi nife maskini!!!
Kama kweli mnauhakika na mlichoandika kwanini hamkuweka picha yangu nikivuta hayo maunga badala yake mnaweka picha ya kituo cha mkunguni ambapo madaladala husimamisha kituoni hapo. Mmepiga picha ya kituo cha mkunguni mkaona haitoshi mkaingia kwenye page yangu ya insta na kuchukua picha yangu niliojipiga mwenyewe ndio mnazitumia kunichafulia jina langu tena wakati ndio kwanza nahangaika kurudi tena kwenye kazi yangu.
Na wewe Mayasa Marwata ni [abusive text] usie jua kazi yako!nimeisoma stori yako nimegundua ni mvivu wa kufatilia habari!Eti Chimbo LA unga langu lajulikana sasa kama ushalijua mbona haukunipiga nikivuta huo unga unaenda kupiga picha kituo cha daladala bwege we! Ntapambana na nyie MAHAKAMANI. (sic)” read the post.