Katibu
Mkuu wa Wizara ya Kilimo Chakula na Uvuvi, Dk. Florens Turuka (kulia),
akizungumza na watafiti wa kilimo Dar es Salaam leo asubuhi, wakati
akifungua mkutano wa nane wa mradi wa mahindi yanayostahimili ukame na
kupambana na wadudu waharibifu wa Wema wa siku tatu wa watafiti kutoka
nchi za Afrika wa kutathimini utendaji kazi wa Wema kwa mwaka
uliopitaKushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la
Uharishaji wa Teknolojia za Kilimo (AATF), Dk. Denis Kyetere na
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech),
Dk.Hassan Mshinda.
Mkurugenzi wa Ushirikiano Mradi wa Wema, Kampuni ya Monsanto, Mark Edge (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Ofisa Mkuu wa Programu, Taasisi ya Bill and Melinda Gates Dk.Lawrence Kent (kulia), akizungumza kwenye mkutano huo.
Meneja
Mradi wa Wema, Shirika la Kimataifa la Uhaurishaji wa Teknolojia za
Kilimo (AATF), Sylvester Oikeh akizungumza katika mkutano huo.
Mtafiti wa Mahindi, Shirika la Kimataifa la utafiti wa ngano na mahindi (CIMMYT), Yoseph Beyene akizungumza kwenye mkutano huo.
Meneja Mfumo na Uzalishaji wa Mbegu (AATF), Gospel Omanya akitoa mada katika mkutano huo.
Watafiti na washiriki wakiwa kwenye mkutano huo.
Watafiti na washiriki wakiwa kwenye mkutano huo.