Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Msanii wa Kundi la Orijino
Komedi, Lucas Mhavile, maarufu kwa jina la Joti katika mkutano kati ya
Rais John Magufuli na Wasanii uliofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Februari 18, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)