Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Uongozi wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki hiyo Dkt. Charles Kimei wakati Uongozi huo
ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo
Februari 03,2016 kwa lengo la kumuelezea kuhusu Banki hiyo itakavyoweza
kusaidia wajasiriamali wadogo wadogo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
katikati akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Benki ya CRDB
ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Dkt. Charles Kimei
wakati Uongozi huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar
es salaam leo Februari 03,2016 kwa lengo la kumuelezea kuhusu Banki
hiyo itakavyoweza kusaidia wajasiriamali wadogo wadogo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Uongozi wa Benki ya Posta Tanzania wakati Uongozi huo
ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo
Februari 03,2016 kwa lengo la kumuelezea kuhusu Banki hiyo itakavyoweza
kusaidia wajasiriamali wadogo wadogo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
katikati akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Benki ya Posta
Tanzania wakati Uongozi huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake
Ikulu Dar es salaam leo Februari 03,2016 kwa lengo la kumuelezea kuhusu
Banki hiyo itakavyoweza kusaidia wajasiriamali wadogo wadogo.(Picha na
OMR).