Katibu
wa Bunge Dkt Thomas Kashililah (aliyesimama katikati) akikagua
ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. Ukarabati huo unahusisha
urekebishaji wa paa la ukumbi huo pamoja na urekebishaji wa Viti na
mifumo ya Umeme.
Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah (wa kwanza kulia) akikagua ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Katibu
wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akikagua taa za Umeme ambazo zinatakiwa
kubadilishwa wakati wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge.
Mhandisi
Matengenzo TBA-Dodoma Hija Mrutu (Kulia) akimuelezea Katibu wa Bunge
Dkt Thomas kuhusu namna ukarabati wa ukumbi wa Bunge unavyoendelea.