Imelda mtema
MSANII wa filamu Bongo, Ester Kiama hivi karibuni alinaswa pande za Bahari Beach jijini Dar akijiachia na kiserengeti boy aliyejulikana kwa jina moja la Zuberi.
Chanzo kilimwaga ubuyu kuwa wawili hao walikuwa wamefika katika fukwe
hizo kwa lengo la kuponda raha na mara nyingi walionekana wakitembea
pamoja wakiwa wameshikana mikono huku wakizungumza na kuangua vicheko.MSANII wa filamu Bongo, Ester Kiama hivi karibuni alinaswa pande za Bahari Beach jijini Dar akijiachia na kiserengeti boy aliyejulikana kwa jina moja la Zuberi.
Showbiz Xtra baada ya kupata habari hizo, lilifanikiwa kunasa picha za tukio hilo kisha likamnyanyulia ‘waya’ Ester ambapo alikiri kuwepo na kijana huyo na kwamba ni mwanamuziki na wala hawana uhusiano wa kimapenzi bali walikuwa wakirekodi video ya muziki